Habari zenu wakuu!
Naombeni msaada wenu, anahitajika dada msaidizi wa kazi za nyumbani
Sifa: Awe na umri wa miaka 18 na kuendelea
Awe msafi
Awe anapenda watoto
Awe anajua kupika
Asiwe na kiburi, kifupi awe ni mtu anaemjua Mungu
Mazingira ya kufanyia kazi:
Mahali: Mwanza
Familia ina watu wanne, so yeye atakuwa mtu wa 5
Kuna mtoto mdogo wa miaka mitatu na nusu
Muda mwingi atashinda nyumbani peke yake
Akiwa mtiifu na mwaaminifu atapelekwa kozi ya cherehani
Mshahara: Mshara wa serikali (40,000)
Anatakiwa as soon as possible
Nawasilisha