BabaKasheshe
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 211
- 45
Salama wana JF. Jamani ninamtafuta ndugu anaitwa CorneliusMaganga Malewa , yeyote mwenye kujua namna ya kumpata au kuwasiliana naetafadhari nijuze.
Asanteni.
Asanteni.
Hapa huwezi kumpata
Hebu jaribu FACE BOOK
Salama wana JF. Jamani ninamtafuta ndugu anaitwa CorneliusMaganga Malewa , yeyote mwenye kujua namna ya kumpata au kuwasiliana naetafadhari nijuze.
Asanteni.
Nami,namfahamu jamaa mmoja mwenye hayo majina mawili la kwanza na la mwisho! Mara ya mwisho,alikuwa Mwanza,Mwananchi Communication LTD(Magazeti). Kama ni yeye,nina namba yake!Mkuu huyu ndugu amewahi kuishi Mwanza au?
mkuu si umpe namba kupitia PM. Please do the needful.Nami,namfahamu jamaa mmoja mwenye hayo majina mawili la kwanza na la mwisho! Mara ya mwisho,alikuwa Mwanza,Mwananchi Communication LTD(Magazeti). Kama ni yeye,nina namba yake!
mkuu si umpe namba kupitia PM. Please do the needful.
Salama wana JF. Jamani ninamtafuta ndugu anaitwa CorneliusMaganga Malewa , yeyote mwenye kujua namna ya kumpata au kuwasiliana naetafadhari nijuze.
Asanteni.
kuna mganga jirani yangu ana tv ya asili. Ukipotelewa unaona unachokitafuta