Anatafutwa ADO

Anatafutwa ADO

clarise

Member
Joined
Sep 7, 2018
Posts
9
Reaction score
1
Habari wakuu,anatafutwa mtu aliyesoma ADO...kwaajili ya kuuza duka la Dawa,duka liko Mbeya wilaya ya chunya,elimu yake isiwe chini ya form four,awe na uelewa kidogo kuhusu huduma za afya,mwenyew vigezo au kumfaham mtu aje pm
 
Watakuja; ahsante kwa kutengeneza ajira moja.
 
Habari wakuu,anatafutwa mtu aliyesoma ADO...kwaajili ya kuuza duka la Dawa,duka liko Mbeya wilaya ya chunya,elimu yake isiwe chini ya form four,awe na uelewa kidogo kuhusu huduma za afya,mwenyew vigezo au kumfaham mtu aje pm
Angalia PM mkuu
 
Back
Top Bottom