Anatafuta nafasi ya kazi Arusha

Anatafuta nafasi ya kazi Arusha

kifu

Member
Joined
Mar 20, 2016
Posts
11
Reaction score
0
Msichana mwenye elimu ya kidato cha nne anatafuta Kazi yoyote iliyo ya halali, ikiwa mkoa wa Arusha itakuwa vizur zaidi.

NB: Sichagui kazi ilimradi iwe ya halali
 
Kisongo utaweza kufanya kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom