Habari zenu wandugu, natumai mko salama.
Naomba kuwasilisha kama nilivyoagizwa. Nina rafiki yng kipenzi amechoka kukaa single kwa muda mrefu xo anatafuta mwanaume aliye single pia, mkristo,mstaarabu, muaminifu, umri kuanzia 28 mpk 35 ili wayajenge.
Habari zenu wandugu, natumai mko salama.
Naomba kuwasilisha kama nilivyoagizwa nina rafiki yangu kipenzi amechoka kukaa single kwa muda mrefu xo anatafuta mwanaume aliye single pia, mkristo, mstaarabu, muaminifu, umri kuanzia 28 mpk 35 ili wayajenge.
weka picha yake...haya mambo ya kumtongoza mtu humjui mwishowe utakuta unamtongoza dadako au mamako mdogo.
Kuweni makini na tapeli mmoja humu jamiiforum anae jiita The honest Mgona baadae nitaweka namba yake ya simu amewatapeli watu wengi sana
amepata!!Habari zenu wandugu, natumai mko salama.