Anatafuta mume!

he!....jamani.......mbona mimi simuoni huyo mchumba......?
 
Kuna jamaa anauliza huyo anayetafuta mume ana hela?? yeye yuko tayari kuwa mariooo liwalo na liwe
 
CV ni muhimu,hebu tuambie unauzoefu wa muda gani? umeachika mara ngapi? umetembea na wanaume wa namna gani? na unamtaka nani? we ni mrefu kiasi gani? rangi yako ikoje? kwa hayo inatasha kukuchukua au la
 
Kuna jamaa anauliza huyo anayetafuta mume ana hela?? yeye yuko tayari kuwa mariooo liwalo na liwe

Hela sio tatizo ila masharti ni, kupenda kubebwa, ukimkorofisha kichapo, burudani mpaka aamue yeye, ujue kazi zote za nyumbani maana huruhusiwi kufanya kazi nyingine zaidi ya kazi za nyumbani! Hapo vipi? Uko tayari?
 
mmhh hicho kimeo... dodoma anaweza kupata lakini kwa dar ni sawa na kutafuta bikra kona Bar au kwa macheni
 
Anapatikana wapi?? Mbona link haina maelezo.
 
Hela sio tatizo ila masharti ni, kupenda kubebwa, ukimkorofisha kichapo, burudani mpaka aamue yeye, ujue kazi zote za nyumbani maana huruhusiwi kufanya kazi nyingine zaidi ya kazi za nyumbani! Hapo vipi? Uko tayari?

Na huu utitiri wa wanawake bado tu mtu ujiingize kwenye hayo matatizo.. Kisa fweza!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…