Anatafuta kazi

Anatafuta kazi

vita kubwa

Member
Joined
May 1, 2018
Posts
8
Reaction score
2
Ninaye Ndugu yangu ana miaka 26 Elimu yake ni kidato cha nne ni kijana mwenye Maadili sana Kwa kuwa ni mlokole

Kutokana na hali ngumu iliyopo kwa sasa anahitaji kazi yoyote ya kujikimu hata kama itakuwa Kuuza Chips,Duka,Pia ana utaalamu na Mambo ya ujenzi japo hana vyeti

kwa yeyote mwenye kazi yoyote Amsaidie ndugu yangu Kwa kuwa mm nimeshindwa kumsaidia kwa Sababu mm kwa Sasa sina kipato chochota

Msaada wako unahitajika
 
Kuna nafasi kama 20 kariakoo fursa kwa vijana wa kike na wa kiume. Kazi kubwa ni kusambaza chakula kwa wateja wa mgahawa kwenye maeneo ya biashara zao.
Mshahara wa kuanzia ni 120,000. Anaingia saa 12.00 asubuhi na anatoka saa 10. 00 jioni.
Nauli ya kwenda kariakooo na kurudi atajitegemea. Atapewa chakula cha asubuhi na mchana.
Je, ataweza ?
 
Yupo tayari kaka kuifanya hiyo kazi
 
Kuna nafasi kama 20 kariakoo fur8sa kwa vijana wa kike na wa kiume. Kazi kubwa ni kusambaza chakula kwa wateja wa mgahawa kwenye maeneo ya biashara zao.
Mshahara wa kuanzia ni 120,000. Anaingia saa 12.00 asubuhi na anatoka saa 10. 00 jioni.
Nauli ya kwenda kariakooo na kurudi atajitegemea. Atapewa chakula cha asubuhi na mchana.
Je, ataweza ?
Nimeku PM
 
Kuna nafasi kama 20 kariakoo fursa kwa vijana wa kike na wa kiume. Kazi kubwa ni kusambaza chakula kwa wateja wa mgahawa kwenye maeneo ya biashara zao.
Mshahara wa kuanzia ni 120,000. Anaingia saa 12.00 asubuhi na anatoka saa 10. 00 jioni.
Nauli ya kwenda kariakooo na kurudi atajitegemea. Atapewa chakula cha asubuhi na mchana.
Je, ataweza ?

apaa na mie nahitajii nikoo dar 0719979400
 
Duuh amejitengenezea mkataba tayari
 
Tuoneane Huruma,kuomba 5,000 ya nauli inakuwaje?mi nlifikiri kama unataka ahsante utapewa akishaanza kazi,halafu kama kumuelekeza gerezani si anaelekezwa tu na kupewa no
Mpe

Mawasiliano yangu haya hapa 0659340324 nitampeleka, better ukuje na wewe kama utakuwa na nafasi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom