Anatafuta kazi ya Upishi

isack raphael

Senior Member
Oct 26, 2013
139
30
Habari JF,

Kuna Msichana ameniomba nimtafutie kazi ya upishi, amepitia mafunzo yake Veta, amewahi kufanya mafunzo kwa vitendo kwenye Restaurant za Himo huko Masasi, Mtwara

Mwenye connection basi tuwasiliane ili tumsaidie huyu msichana.

Umri wake miaka 20.

Ahsante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom