Anatafuta kazi ya kwenye kampuni au ya kufundisha chuo taaluma ya usimamizi wa biashara.

kaka9

JF-Expert Member
Jul 16, 2017
280
113
Habari wakuu!


Nina uncle ana Degree ya Business Administration,ana uzoefu wa kufanya kazi zaidi ya miaka 20 kwenye makampuni mbalimbali na katika nafasi za managers,lakini pia ameshawahi kufundisha vyuo mbalimbali vya biashara hapa nchini kwa ngazi ya cheti na Diploma,kwa sasa anahitajika kazi katika makampuni au vyuo afundishe,kwa mawasiliano zaidi 0673269820.
 
Back
Top Bottom