Anatafuta boyfriend

Anatafuta boyfriend

mb orginal

New Member
Joined
Jun 3, 2014
Posts
4
Reaction score
0
Wadau kuna friend wangu anatafuta boyfriend

yeye ana umri wa miaka 21

Sio bonge mrefu wastani

Na pia ni rangi maji ya kunde

Anae muhitaji awe ana

Umri kati ya 21 adi 23

Asiwe mfupi sana wala mrefu san .

Dini muislam, mapenzi ya kweli muhimu pesa badaeeeeeeeeeeeee
 
wadau kuna frd wangu anatafuta boyfrd yy anaumr wa miaka 21 co bonge mrefu wastan na pia ni rang maji ya kunde anae muhtaji awe ana umri kat ya 21 adi 23 acwe mfup xana wala mrefu xan . dini muislam, mapenz ya kwel muhimu pexa badaeeeeeeeeeeeee
Biashara matangazo,kwani yeye hawaoni huko mtaani ama chuo?
 
Karibu jf wewe ni Ke?karibu sana sana mbona jana ulivyoanza kutumi jf hujani PM au nikupige ban sasa hivi
Ni pm haraka nikupe maelekezo ya hapa ndani kama ni Ke
Halafu ni marufuku kutumi x badala ya s ukiendelea ni ban tu
 
kama ni ME je akaushe....
 
Mi namtaka nimchepue tu ila akiwa mtamu tutadumu kwa muda
Kama Yuko tayari tupia namba yake pm
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom