abbasmbassa New Member Aug 1, 2018 4 2 Aug 12, 2018 #1 Naomba ushauli kuhusu ndugu yangu. Anasumbuliwa na pumzi kutokufika kwenye moyo.ameshapimwa presha,x ray na ultrasound. Majibu Hakuna ugonjwa. Ukimtazama ana afya nzuri natatizo hili likumshika miguu hukoswa nguvu na hufa ganzi.
Naomba ushauli kuhusu ndugu yangu. Anasumbuliwa na pumzi kutokufika kwenye moyo.ameshapimwa presha,x ray na ultrasound. Majibu Hakuna ugonjwa. Ukimtazama ana afya nzuri natatizo hili likumshika miguu hukoswa nguvu na hufa ganzi.
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Mar 25, 2016 10,521 13,110 Aug 12, 2018 #2 Jaribuni pia na kumpatia huduma za kiroho kulingana na imani yake, haya mambo ya duniani unaweza kuta katupiwa mambo ya kishirikina.
Jaribuni pia na kumpatia huduma za kiroho kulingana na imani yake, haya mambo ya duniani unaweza kuta katupiwa mambo ya kishirikina.
Zeus1 JF-Expert Member Aug 24, 2017 6,994 8,917 Aug 12, 2018 #3 PROF NDUMILAKUWILI said: Jaribuni pia na kumpatia huduma za kiroho kulingana na imani yake, haya mambo ya duniani unaweza kuta katupiwa mambo ya kishirikina. Click to expand... Umenena vyema mkuu,Nina jamaa yangu alipata stroke kabisa,hospital wanasema hawaoni kitu.Alianza kushinda kabisa,hadi Leo amemwona MUNGU
PROF NDUMILAKUWILI said: Jaribuni pia na kumpatia huduma za kiroho kulingana na imani yake, haya mambo ya duniani unaweza kuta katupiwa mambo ya kishirikina. Click to expand... Umenena vyema mkuu,Nina jamaa yangu alipata stroke kabisa,hospital wanasema hawaoni kitu.Alianza kushinda kabisa,hadi Leo amemwona MUNGU
mzama chumvini JF-Expert Member Mar 14, 2016 730 641 Aug 12, 2018 #4 Mkuu Pumzi Haifiki Kweny Moyo Ndio Nin?? Sema Dalili Mfano: Kifua Kinauma, Anashindwa Kupumua Au Anakohoa. Ukitaja Dalili Tutajua Shida Na Kupata Njia Sahihi Ya Kukushauri.
Mkuu Pumzi Haifiki Kweny Moyo Ndio Nin?? Sema Dalili Mfano: Kifua Kinauma, Anashindwa Kupumua Au Anakohoa. Ukitaja Dalili Tutajua Shida Na Kupata Njia Sahihi Ya Kukushauri.
wa stendi JF-Expert Member Jul 7, 2016 24,688 26,796 Aug 12, 2018 #5 Zeus1 said: Umenena vyema mkuu,Nina jamaa yangu alipata stroke kabisa,hospital wanasema hawaoni kitu.Alianza kushinda kabisa,hadi Leo amemwona MUNGU Click to expand... Ameen
Zeus1 said: Umenena vyema mkuu,Nina jamaa yangu alipata stroke kabisa,hospital wanasema hawaoni kitu.Alianza kushinda kabisa,hadi Leo amemwona MUNGU Click to expand... Ameen
wa stendi JF-Expert Member Jul 7, 2016 24,688 26,796 Aug 12, 2018 #6 Zeus1 said: Umenena vyema mkuu,Nina jamaa yangu alipata stroke kabisa,hospital wanasema hawaoni kitu.Alianza kushinda kabisa,hadi Leo amemwona MUNGU Click to expand... Ameen
Zeus1 said: Umenena vyema mkuu,Nina jamaa yangu alipata stroke kabisa,hospital wanasema hawaoni kitu.Alianza kushinda kabisa,hadi Leo amemwona MUNGU Click to expand... Ameen
Mbaga Jr JF-Expert Member May 28, 2018 19,089 41,591 Aug 12, 2018 #8 mtoa mada em soma tena ulchoandika