Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 46,732
- 99,593
Itakuwa hajui alitendalo.
hapa dr shein rais wa zanzibar akiapa mbele ya jaji mkuu..kuingia kwenye baraza la mawaziri katika serikali ya Tanzania bara
Napenda kufahamu:..1.anaapa sawa ila atasimamia katiba ipi ya kule zanzibar au ya huku kwetu
2.anaingia kwenye baraza la mawaziri bara kama msikilizaji au waziri wa nini?
ni hayo tu ..kama kuna mengine tufahamishane
nawasilisha
Mshahara wa Urais wa Zanzibar ni mdogo kuliko wa waziri wa Tanzania, si vibaya akatengenezewa kaji allowance ka ziada kwani huyu ni mmoja katika wachapa kazi waadilifu.
Mshahara wa Urais wa Zanzibar ni mdogo kuliko wa waziri wa Tanzania, si vibaya akatengenezewa kaji allowance ka ziada kwani huyu ni mmoja katika wachapa kazi waadilifu.
hapa dr shein rais wa zanzibar akiapa mbele ya jaji mkuu..kuingia kwenye baraza la mawaziri katika serikali ya Tanzania bara
2.anaingia kwenye baraza la mawaziri bara kama msikilizaji au waziri wa nini?
Nakubalia na wewe hapo mwisho, lakini hapo kwenye kutengenezewa kaulaji katiba inaruhusu?
hujajibu hoja ya mleta mada
...na ndio maanaMkuu wanasema kaulaji kameandikwa kabisaaaa kwenye katiba yao
..Na huu utaratibu umeanza lini.... Kwa Dr. Salmin Amoor na Karume mbona hatukuona wanaingia katika baraza la Mawaziri?