Anasema Injili ya Yohana iliandikwa na “yule mwanafunzi aliyependwa na Yesu

Covax

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2021
Posts
13,555
Reaction score
40,749
Tunajuaje kuwa hilo si kweli?
Kwanza, injili tatu za Sinoptiki (Mathayo, Marko na Luka) hazimtaji mwanafunzi huyu hata mara moja. Luka na Marko hawakuwa wanafunzi wa Yesu, lakini Mathayo alikuwa. Basi mbona yeye hakumtaja? Hata mara moja!

Pili, Yohana alikuwa mvuvi wa kawaida asiye na elimu kutoka kijijini Galilaya. Asingeweza kuandika injili yenye ufasaha mkubwa wa Kigiriki, ambayo hata imeguswa na falsafa ya Neo-Platonism.

Tatu, katika sura yake ya mwisho, mwandishi au waandishi waliashiria jambo, wakisema:

"Huyu ndiye mwanafunzi anayeshuhudia mambo haya na ndiye aliyeandika haya; nasi tunajua ushuhuda wake ni wa kweli." (Yohana 21:24)

Kama mwandishi alikuwa ni Yohana mwenyewe, kwa nini alitumia kiwakilishi cha kifalme, “SISI”?
 
Fuata maneno ya Injili achana na kuwa alikuwa mwanafunzi au laah hilo sio la msingi kuliko Injili yenyewe
 
Mkuu tunajua bibulia ne neno la roho mtakatifu sasa kwanini wa tuongopee wakati sio kweli Yohana hakuwahi kua mwanafunzi wa yesu.
 
Waandishi wa injiri wamejitambulisha kwa majina yao na historia inawatambua.

Qurani haijulikani aliandika nani kila sura.
Waandishi wake wamejificha kwa sababu ya kuto taka kujulikana:

Tunasoma tu Sura ya Vichuguu, Sura ya Majini, Sura ya ng'ombe jike, sura ya wanawake nk.

Uandishi wa kitapeli unajulikana tu:

Nani aliandika sura ya wanafiki ? Kimya:
Hivi hamsikii aibu kuqestion Biblia ?
Shame on you:
 
Tunajuaje kuwa hilo si kweli?
Kwanza, injili tatu za Sinoptiki (Mathayo, Marko na Luka) hazimtaji mwanafunzi huyu hata mara moja. Luka na Marko hawakuwa wanafunzi wa Yesu, lakini Mathayo alikuwa. Basi mbona yeye hakumtaja? Hata mara moja!

Pili, Yohana alikuwa mvuvi wa kawaida asiye na elimu kutoka kijijini Galilaya. Asingeweza kuandika injili yenye ufasaha mkubwa wa Kigiriki, ambayo hata imeguswa na falsafa ya Neo-Platonism.

Tatu, katika sura yake ya mwisho, mwandishi au waandishi waliashiria jambo, wakisema:

"Huyu ndiye mwanafunzi anayeshuhudia mambo haya na ndiye aliyeandika haya; nasi tunajua ushuhuda wake ni wa kweli." (Yohana 21:24)

Kama mwandishi alikuwa ni Yohana mwenyewe, kwa nini alitumia kiwakilishi cha kifalme, “SISI”?
Kwa hiyo ulitaka wanafunzi wote walioandika Injili wataje kila kisa/tukio kwa kufanana? Kwa taarifa yako ni visa/matukio yasiyozidi mawili [ukiondoa kufufuka kwa Yesu] ambayo yameandikwa kwenye Injili zote nne.

Vv
 
Back
Top Bottom