West standard
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 441
- 649
- Thread starter
-
- #81
Nilikutana nae kupitia kwa simu ya jirani yake huko kwao, Kwangu alikuja mwenyewe baada ya jaribio la kumtorosha kwao kushindikana, ikawa yeye afunge safari aje mahali nilipo...alifika town ikawa mimi nilishatoka mapema asubuhi kuenda sokoni- Akaniambia tayari amefika mahali ninakoishi basi nikamwelekeza mahali zilipo funguo, Niliporudi jioni nikampata yupo ndani ya nyumba.Kwanza tuanzie uchunguzi 'investigation' katika kujuana kwenu na aina gani ya penzi mnalopitia.. inaonesha hujamtongoza wewe au yeye ndo alikufata.. au ndo 'single relation.. aka blind love' Kiufupi pole ila rejea swali langu hapo nyuma. aina gani ya penzi mnalopitia.?
Alaf ikaweje?Nilikutana nae kupitia kwa simu ya jirani yake huko kwao, Kwangu alikuja mwenyewe baada ya jaribio la kumtorosha kwao kushindikana, ikawa yeye afunge safari aje mahali nilipo...alifika town ikawa mimi nilishatoka mapema asubuhi kuenda sokoni- Akaniambia tayari amefika mahali ninakoishi basi nikamwelekeza mahali zilipo funguo, Niliporudi jioni nikampata yupo ndani ya nyumba.
Kwani hapo sina uwezo wa kuoa mwingine?Nbora ukose kuoa kuliko kujenga
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]kwahiyo wenye tabia kama hizo ni wavulana?Uyu sio Mwanaume ni mvulana
Umfanye nini tena? Mfanyie ndoaNilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii.
Halafu ananiambia anataka tufunge ndoa. Kweli?
Nimfanye nini huyu mwanamke?
Mambo Una yotaka kufanyiwa yapo ndani ya ndoa wewe unaona ana fanya makosa na yeye ana ona Una fanya makosa kumwambia akifulie akufanyie usafi, akupikieNilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii.
Halafu ananiambia anataka tufunge ndoa. Kweli?
Nimfanye nini huyu mwanamke?
Unachosema ni sahihi. Na mm yalinikuta kwa kujidanganya kuwa atabadilika, lkn mwisho wa siku ndoa ilivunjikaNilichokigundua mimi ni kuwa watu wengi wanafanyia makosa hapa,anagundua kuwa mpenzi wake ana mapungufu kabla hata hawajafunga ndoa ,lakini anajipa moyo kuwa atakuja kubadilika mbele ya safari wakati kiuhalisia ni kuwa tabia haina dawa,na ukijidanganya kufunga naye ndoa juwa kabisa kuwa utakuja kulia mbele ya safari...
lol [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hivi unaweza kuvuka barabara pekee yako?
Mnaishi pamoja?Chakula natoa hela mimi ila akipika ndiyo hivyo.
Hapo hujamuoa amekuwa hivyo. Utakapomuoa atakuwa ngiri au nguruwe pori.Nilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii.
Halafu ananiambia anataka tufunge ndoa. Kweli?
Nimfanye nini huyu mwanamke?
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] kwa kweli, mwamba anasound kama mtu flan aliekuja ghafla ata mazingira hayajui..Hadi hapa tushapoteza mwanaume mmoja...[emoji56]
Aaah sio tabia poa kabisa.Kakubeba vitu kalikuwa katabia kangu somewhere nkajishtukia nkaacha
Both in one packageUnataka mke au mfanyakazi?
Apige chini huyo, aendelee kutafutaBoth in one package