Anapenda kunyonya kidole nakushika chuchu!

kunyonya kidole ni tabia ya kawaida tu, mwambie aache kuchezea matiti sio vizuri...lakini usimkoromee mpaka akawa hana raha nanpokuwa na wewe
 
Kidole gani ananyonya? Mbona hakifikii? Huyo hana tatizo lolote, ila wewe. Baby wako anataka wewe ndo umnyonye. Bila shaka hukumbikri, basi huko alikokuwa alikuwa akinyonywa chuchu na kidole, raaaaaaaaaaaha. Mnyonye afurahi. Nimeamini kuwa ni kile kidole kingine cha akina mama, maana kama kingekuwa kidole cha mkononi ungekitaja wazi ...

nina mchumba wangu 25yrs old!..anapenda sana kunyonya kodole nakushika chuchu huku akiivutavuta!...sio siri tabia hii inanikeraa!..nimemuonya lkn wapi!!!..juzi kidogo tupate ajali eneo la rose garden kona ya tcu na gari kisa tulikua tunagombana kuhusu tabia hiyo...cha ajabu tumefika hm kaendelea tena na tabia hyo!!..daah nimechoka nisaidieni wana jf nifanyeje????
 
Kunyonya kidole kawaida tu, ila hiyo ya kuchezea matiti sio nzuri, anaweza akapata saratani ya matiti. Matiti yameumbwa kwaajili ya watoto na sie wanaume. Atembelee MEWATA watamuelimisha zaidi.
 
dah pole sana coz hiyo inatokana na mazoea but kama una mpenda ukiwa unamwambia kila mara aache kwa ukali atakuwa anaogopa then hiyo tabiaa itaisha kabisa
 
Back
Top Bottom