Marida hili ni tatizo kwa wanaume wengi sana. Kama hao wote wanajua kusoma na kuandika, njia rahisi mno ni meseji yenye UZITO unaotakiwa. Embu nitumie ''self disclousure''. Mimwenyewe kuna binti nilimempenda sana. Nikaanza vitendo kama kumpigia simu na kumjulia hali mara kwa mara. Baadaye nikamwambia kuna jambo nataka kukushirikisha ni very essential! Zikapita siku, daah alikuwa na dukuduku ya kujua ni jambo gani hilo muhimu. Nikam'promise' n'tamtumia kwenye msg. Nilikuwa naogopa, kumwambia kwenye simu. Baadaye nikatuma Mesej yenye Ujazo! Mpaka leo sijajibiwa, ila naamini kwa 99% atakubali. EMBU, KAMA Ana nia ya KUMWOA mshauri atumie iyo njia!!! Ni rahisi na haraka na ya kuaminika