limbende
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 1,038
- 621
Wanajamvi naomba mnisaidie nina mchumba nataka kumuoa lakini nagombana kila siku kwa kumkataza kwenda club lakini cha ajabu anajigombanisha ili aende disco na pia anakaa karibu na club,
Sasa sijui nifanye nin ili niweze kumwachisha kwenda club bado nampenda sana,nisaidieni na nahtaji ushauri kwani yamenikuta mwenzenu.
Sasa sijui nifanye nin ili niweze kumwachisha kwenda club bado nampenda sana,nisaidieni na nahtaji ushauri kwani yamenikuta mwenzenu.