habari zenu wakuu.
hivi hii inatokana na nini wakuu maana inanishangaza sana,mwanafunzi anafanya vizuri form IV alafu six anafeli,sijui ni sifa,mapenzi,ovakonfidensi au nn?
Level mpya na mambo mapya,safari ya advance huwa inaanza upya kama ile ya kutoka primary kwenda secondary,na haijalishi huko nyuma ulikuwa na point ngapi.Vile vile over confidence na kubweteka ni sababu kuuuubwa inayosababisha hayo.

Ndo ivo bana,kule ukibweteka na one yako unaliwa.Mi nakumbuka sisi tuliokuwa na 13 tumekuja kuwagap hata waliokuwa na 7,8 na 9.Cha msingi ni kukaza zaidi mpaka kieleweke.

Na vp mimi mzee hana uwezo wa kunilipia tution isipokuwa hapa nyumbani kunavitabu vya comb nayoenda kusoma.itakuwa na effect yoyote nikienda bila kusoma tution Mkuu.

Asee we nenda kakomae tu utachomoka fresh kabisa.Vile vile tafuta mtu akusaidie kukupiga pindi kwa muda huu wa likizo ila vitopic vingine unaweza kukomaa navyo mwenyewe kama una uwezo.Mfano mechanics unaweza kuisongesha mdogo mdogo endapo una uwezo wa kupiga msuli yatima.

Kusema kweli vile vitabu ni vizuri sana sababu havina complications nyingi,vinaeleweka na vina maswali mengi yakiwemo na yale ya conceptual ambayo ni muhimu sana.Hata mimi kusema kweli ndo vilinitoa,sikucomplicate na ma UP na Roger,ila wewe komaa na vitabu vingi as possible.