Anaomba ushauri wako

Anaomba ushauri wako

Joined
Feb 7, 2013
Posts
8
Reaction score
1
habari wana jamii forum

kwa jina naitwa ibrahim kama inavooneka,samahani kaka yangu anaomba ushauri kuhusu hili

`wiki moja iliopta hapa kijijin kwetu kuna mtoto alikufa katika mazingira tatanishi,kaka angu anafahamiana na mmoja ya askari upelelezi aliyetumwa kuja kutafuta ukweli wa mauaji hayo!!!!hivyo basi akamuomba kaka angu aweze kumsaidia kuhusu upelelezi huo,bila hiana kaka alikubali na kufanya iyo kazi!!!!

S
asa tatizo ni hapa kisha wajua watu walohusika na tukio je amwambie huyo mpelelezi ukweli?

Kiukweli nafsi inamsuta kuwa ataishije hapa kijijini na pia anawaonea huruma sana hao walomu ua huyo mtoto!!!!!!!!

please anaomba sana ushauri kusu ilo mwanajamii forum.
 
Seriously anahitaji ushauri au makofi na makonzi?mama anatoa testimony juu ya mwanae sembuse yeye?after all police wananjia nyingi za kumfunika,
 
Back
Top Bottom