Jamani siku zote tunaambiwa tuwe creative kwenye 6*6, hiyo nayo ni creativity la msingi hapa ni kujua side effects za zoezi hili kama linazidi zile za anayevuta sigara kwa mdomo, kwani sote tunajua kuwa uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya lakini imeruhusiwa kwa sababu pamoja na nyingine mvutaji hupata starehe, na lengo la mapenzi ni kustareheshana. Nionavyo mimi kama dada huyo anapata raha basi apewe raha tusiwe too rigid to accept new discoveries.