Sasa lisa ni kaka gani uliyemwandikia thread hii? Maana umeanza na habari kaka.
Haya na akujibu huyo kakio
Si ndo hapo sasa? Au labda anaolewa tena lol maana naona siku hizi ni kawaida babu! Natamani ningeishi miaka ile yenu!Afu huyu si yule Lisa aliyekuwa anatafuta mchumba baada ya kuchezewa sana? Si ndo ametoa na namba zake za simu? He!
Si ndo hapo sasa? Au labda anaolewa tena lol maana naona siku hizi ni kawaida babu! Natamani ningeishi miaka ile yenu!
Enzi zetu tulikuwa hatuombi maushari ya kipuuzi kama haya. Ngoja niteme mate kwanza. Ptuuuu! Ugoro wangu unaniishia na hela sina.
Nashangaa sana , mm siko hivyo muwazavyo, mm nimecopy sehemu na kuileta humu jamaan, wewe Chripini na Fedel sitaki uchokozi.
Chrispin sio mm hebu soma vizuri hizo thread mm nimecopy from somewhere
usinidhalilishe bwana mm ni Mrs.
usemage unapozitoa bee!!
Si umeona mamushkae?