Siachi hela
Senior Member
- Jun 17, 2022
- 136
- 249
Yeye hajui chochote na Hana interest yoyote anasubiri maelekezo tu.Yeye ukimsikiliza anasemaje?.
Asante kwa ushauri.UDSM - GEOMATICS
hicho ndiyo chuo kikuuuu option ya pili UDSM - GEOMATICS
Aisikilize roho yake inataka nini.. Atafanya vema sanaKijana yupo dillema, anaomba ushauri wa wadau wenye uzoefu ili isijetokea akaharibu huko mbele.
Amechaguliwa Course zifuatazo na ana hitaji aconfirme mojawapo.
UDSM - GEOMATICS
UDOM - MINNING ENGINEERING
ARDHI - GEOMATICS
Msaada tafadhali kijana achague programu ipi kati ya hizo??
Ushaambiwa Moyo haujui unataka nn Mkuu, kijana yupo tayar kuchaguliwa/kushauliwa chochote na akakipenda sasa.Aisikilize roho yake inataka nini.. Atafanya vema sana
Naungana na ww...[emoji1666]Nadhani Geomatics ya ardhi ni quality zaidi ya udsm
Kwa ushauri wangu........
1. Geomatics - Ardhi
2. Geomatics - udsm
3. Mine Engineering - udom
Thank me apres!
Asante kwa ushauri ndugu.Nadhani Geomatics ya ardhi ni quality zaidi ya udsm
Kwa ushauri wangu........
1. Geomatics - Ardhi
2. Geomatics - udsm
3. Mine Engineering - udom
Thank me apres!
Asante kwa ushauri mkuuNaungana na ww...[emoji1666]
Asante kwa ushauri mkuuUdsm geomatics
Advantage
1.title ya chuo namba1 nchin(hapa ukimaliza vzur,.. masters na phd unaomba nje ya nchi na scholarship unapata bila maswal meng
2.koz nzur
Nimepokea ushauri wako mkuuBila kupindisha maneno, UDOM sio chuo
Ni mtazamo wangu Lakini...kama nimekosea nisamehe mimiUshaambiwa Moyo haujui unataka nn Mkuu, kijana yupo tayar kuchaguliwa/kushauliwa chochote na akakipenda sasa.
Ni nini?Bila kupindisha maneno, UDOM sio chuo
Hakika[emoji16]Bila kupindisha maneno, UDOM sio chuo