Ananiuliza simu ina ukubwa gani

Ananiuliza simu ina ukubwa gani

HAPOHAPO UMEKUJA RAM AU SPACE TOFAUTI GANI IPO HAPO
Space = internal memory
Ram inasaidia kurahisisha ufanyaji kazi ktk simu kama Ram kubwa kazi zitafanyika kirahisi na kama ndogo kazi zitaenda slow

nadhani nimeeleweka kwa maelezo yangu yasiyo rasmi
 
Yangu hiyo hapo je niliweka memory card nitafaidi?
Screenshot_2018-06-05-21-31-45.jpg
 
Back
Top Bottom