Ananitaka kimapenzi na amenizidi umri, nifanyaje?

Ananitaka kimapenzi na amenizidi umri, nifanyaje?

phil78

Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
47
Reaction score
73
Habari za sahivi wana JF, mim ni yule kijana kama mnakumbuka nilikuja kuomba ushauri juu ya kukataliwa ukweni ,kila mtu akasema yake. Wengine wakasema tafuta hela, wengine wakashuka matusi, ila nikakaambali na ile pisi.

Sasa wiki kama mbili hivi zilizopita kuna mdada nilimtania tu facebook akatokea kunipenda sana, akaomba namba zangu nini, nikaingia nae chimbo kwa maaana whatsapp kama unavojua mtu akikufuata lazima utataka kumfahamu.

Basi demu namuuliza unamiaka mingap anasema 30, afu anasema anawatoto 4, aaaah nikijicheki nina 23 mmmh! Nikaona hapa mbona kazi ipo!

Sasa ndgu zangu huyu manzi akaniomba picha nikamtumia, akaniaifia sana mara hendsome nini! Mara anajuta kuwahi kuolewa. Nikamuuliza kumbe uliolewa, manzi anasema ndiyo ila wameachana na bwana wake.

Sasa manzi jana nimechat nae mara atoe voice za miguno, mara alegeze sauti, mara aniringie, nikamwambia mimi naogopa kuwa nae kwa maaana sihitaji mahusiano naye.

Manzi kanivuta mpaka nimemuelewa, ila kinachonipa maswali ameniambia nikipata likizo nikakae kwake kama pesa yeye atatafuta ila nilale naye, nikae nae, na amesema anataka nimuoe.

Ndgu zangu wana JF, naomba mnishauri hii manzi kweli hata ungekua wewe ungekubali kukaaa nayo? Na je, unaweza kuoa mtu alokupita miaka 7?
 
Then, hii manzi inaonekana inajua mapenzi kama unavojua mm sijawah kukutana na mkata umeme kwa maaana msichana asie bikra, na natamani nionane nae maana anasifia sana mara anaweza show uchu unanijia kila nikikumbuka kuwa mabikra hawajui show na wako hovyo mapenzi yao ni kama kusumbuana tu japo sijaweka akilini mapenzi mbele
 
Then, hii manzi inaonekana inajua mapenzi kama unavojua mm sijawah kukutana na mkata umeme kwa maaana msichana asie bikra , na natamani nionane nae maana anasifia sana mara anaweza show uchu unanijia kila nikikumbuka kuwa mabikra hawajui show na wako hovyo mapenzi yao ni kama kusumbuana tu japo sijaweka akilini mapenzi mbele
Kingine mimi namaliza chuo mwaka huu isije ikawa ananyemelea tu anipulule vijisenti japo yeye ndo anasema atanipa kila kitu sijui hata kanipendea nin? Daaah
 
Anawatoto wanne arafu mim nasoma medical nikienda kwake naenda na vipimo vya ukimwi na gono na kaswende sifanyi nae hadi nimpime . ishu iko hivi manzi inaniogopesha maana ni mtu wa temeke
Kingine mimi namaliza chuo mwaka huu isije ikawa ananyemelea tu anipulule vijisenti japo yeye ndo anasema atanipa kila kitu sijui hata kanipendea nin?? Daaah
Then, hii manzi inaonekana inajua mapenzi kama unavojua mm sijawah kukutana na mkata umeme kwa maaana msichana asie bikra , na natamani nionane nae maana anasifia sana mara anaweza show uchu unanijia kila nikikumbuka kuwa mabikra hawajui show na wako hovyo mapenzi yao ni kama kusumbuana tu japo sijaweka akilini mapenzi mbele
Andika CV yako kamilifu ili wasomaje tupate urahisi wa kukusaidia.

Kama una shida ya tendo la ndoa huyo mwanamke anakufaa.

Kama una shida ya mke tafuta kwanza kaburi la mume wake na hawara wake wa zamani.

Kinyume na hapo ni sawa na kujiingiza katika vita dhidi ya mrussi kwa kutegemea msaada.
 
Kwel anasema ameachana na bwana wake na amempa talaka?? Oyaaa muhuni naogopa siku nikienda nisije kuambiwa nimefumaniwa??
 
Back
Top Bottom