Ananipinga vingiza wakati hata bado hatuja'DO'

Elfu 15 unaanza kuongea? au mgeni mjini? wacha nisiseme manake naweza kukukera na sipendi kumkera mtu sio vizuri..
 
Huyo demu wa uswazi nini anaomba 15 hela ya pipi kusuka kwenye siku hizi 50 kwenda juu.

Hujapata bado dada wa mjini wewe, ndo shida ya kubeba viwanaume kaptura 15 tu anapiga kelele mtaa mzima Kama huna hela kazana kutafuta sio unawaza kutembeza dudu na vihela vyako vya mawazo.
 
Siku izi wanaomba elfu 15 au 10, kwa kuandika msg kwenye simu, na kutuma kwa watu ka 60 kwa mara moja.

we kidume utaona ni hela ya vocha kumbe mwenzio hakosi laki 4 apo.
 

Unajua hiyo msg katuma kwa mabuzi wangapi?
Hizo mbinu zenu tushazijua, mi demu akiniomba 5000 najua siko peke yangu.
 
uzinzi tuu umekujaa! muwe mnakaaga kimya kama hamna vya kujadili!
 
Unajua hiyo msg katuma kwa mabuzi wangapi?
Hizo mbinu zenu tushazijua, mi demu akiniomba 5000 najua siko peke yangu.
Wewe dada wa mjini hana vibuzi mbuzi vyakuomba 15, kwanza habebi masikini mzinga wake mrefu masikini Kama wewe labda ukauze shamba la urithi.
 
Ni jambo la mbolea mno kuondoka 50 yako kuliko kuendelea na mtu unaemuhisi kuwa anataka kukuzia mapenzi penzi sii bishara iweje ununue.
Mkuu,
Mambo yako kweli lakini dunia imebadilika! Hata mkeo nyumbani anakuuzia mapenzi sembuse viruka njia?
Katika wanawake hilo kwa siku hizi ni jambo la kawaida unakutana nae Leo maongezi na kupanga mnaachana nae nusu saa unaona message shida! hiyo! Mwengine anakuambia ameibiwa Simu na akisema hivyo ni kwamba umnunulie Simu na anakuambia Simu wewe mwenyewe huna!
Hivyo hali inaendana na hali unaloweza Fanya usiloweza usifanye! Mkunje jamaa kwenye Suruali angojee sherehe yake kwa mlevi labda!
Mimi huonelea jambo rahisi kwa sisi tunaoishi nchi zilizoendelea na Miji yake mikuu kama Nbi, Kampala, Kigali DRC hata Dar ingawaje Dar sio kiprofession vile, kuna wanawake wa hali ya juu anajipeleka sehemu stahiki za starehe kwa biashara $20,30,50 au 100 katika sehemu hizi hakuna aibu wala fedheha una mchagua unateta mnaenda kadri ya maelewano yenu mkimaliza basi hakuna shida ya naomba voucher, Simu nimeibiwa au mama yangu kafa na vitu kama hivyo. hiyo si amani?
Usinshawishi au kunidanganya kitu kote huko tunatumia Confom tofauti iko wapi?
 
Pole sana... hapana siyo kwamba ni mwanamke wa mizinga, ila wewe uwezo huna/mdogo ndiyo maana unalalamika... lakini kumpa hela mwanamke unatakiwa ulione ni jambo la kawaida sana... na kakuhurumia sana kukuomba elfu15, 15... Kuna ambao wanaomba mpaka laki3, 4... na bado mwanaume unatoa bila kinyongo... yani anakutanulia miguu mwenyewe bila hata kumvizia... na kila siku utaulizwa vipi nije leo...
 
Nakubariana nawe kiongozi kwa upande mmoja na kwa upande mwingine hapana sikubariani nawe. Hatukatai kutoa huduma na kumsaidia rafikiyako au mkeo tunachokataa ni ile hali ya kufanywa chuma ulete. Katika mapenzi tunahitajia zaidi ipatikane hali ya kusaidiana kuzawadiana na kuhurumiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…