50/50 Mapema jua halijazamamkuu si kuna utaratibu pia wa kuhonga,,huwezi gawa pesa hivi hivi kama mzazi anavyomgaia mwanawe
Reajea heading hapo juu... Ni dem fulani hivi wa mjini nilikuwa na appointment naye sehemu...baada ya kukutana kwenye date ya kwanza na baada ya kupiga stori mbili tatu hivi mwanaume nikajikaza nikamtongoza... na nikambembeleza akakubali siku hiyo hiyo.... sasa cha ajabu jioni yake hiyohiyo dem akaniomba sh elf 15 akanaimbia ana tatizo nayo,basi mwanaume nikafikiria nimtumie au nisimtumie? nikajua labda ni mtego anataka kujua naweza majukumu ya kuhudumia au lah basi ikabidi tu nimtumie lakini roho iliniuma siku ya kwanza tu baada ya kumtongoza natuma hela...nikapanga kwa kuwa kashakula elfu 15 yangu nifanye mpango wa kutoka nae baada ya wiki moja na mimi nikaile "elfu 15 zake"....Cha ajabu hata hiyo wiki moja niliyomuwekea mtego wa panya haijafika (siku ya nne) dem ananiomba elfu 15 nyingine ya kwenda kusuka...Mamaaa nikajua sasa nimepata TanzaniteDigger... nikajitetea kiuongo na kweli pale kwamba majukumu yamezidi basi dem akanielewa kimtindo ikabidi niutegue mwenyewe ule mtego nisimwite wala nini...dem anaonekana sasa kapata wa kumpiga vizinge mpaka sasa nimempunguzia spidi yy bado hajasanuka hapa najiuliza nisex nae mara moja kila mtu achukue 50 zake au niachane nae kimya kimya huyu mtoto wa mjini? Kiukweli kaperform below expectations hata interval za kupiga viznga bado hajui vizuri.
Reajea heading hapo juu...
kila mtu ana level zake so kwa mm tshs 15000 kwa kipato changu elf 20 kwa siku ni nyingi sana kupigwa kilungu na demu wakat hata sijakula mzigo bado okay siyo kesi ka alivyosema jamaa katoa ila mzee hta week haijaisha kilungu tena noma hvyoThread yote hii ndefu kisa elfu 15 ? ???? Woiiiiii walah wonders will never end
Chaaaa kama per day una 20000, means per month una hela nzuri tu then unalalamikiaje 15000?kila mtu ana level zake so kwa mm tshs 15000 kwa kipato changu elf 20 kwa siku ni nyingi sana kupigwa kilungu na demu wakat hata sijakula mzigo bado okay siyo kesi ka alivyosema jamaa katoa ila mzee hta week haijsusha kilungu tena noma hvyo
eeeeee wajua me msela nondo kula tu kwa siku tshs elf 8 bdo vocha buku nauli 1600 ghalama za maisha ya kupanga tshs elf 3 include maji umeme Pango per day inabaki akiba nikiumwa je wazazi hujawatumiaChaaaa kama per day una 20000, means per month una hela nzuri tu then unalalamikiaje 15000?
Anataka tu slope ee? unataka umchape na kuhudumia huwezi? Achia wenzio wahudumiee bro
Teh! kijana tulia.kila mtu ana level zake so kwa mm tshs 15000 kwa kipato changu elf 20 kwa siku ni nyingi sana kupigwa kilungu na demu wakat hata sijakula mzigo bado okay siyo kesi ka alivyosema jamaa katoa ila mzee hta week haijsusha kilungu tena noma hvyo
lazima uKIMBIE mbio ndefu
sasa mkuu hapo mtengee fungu ukiona hicho kima kimefika mf lbd elf50 na bdo hujakula mzigo kimbia mbio za marathon itakuwa anekuwin wewe na ukijipa moyo utatoboka zaidi na zaidi