Kuna siku mkononi kwako kutakuwa na vitu viwili; MAVI na HELA, Alafu wewe kwa akili yako timamu utatupa HELA chini alafu utabakiwa na MAVI mkononi alafu utashangilia na kufurahia. Ila mda ukifika utastuka mikono inanuka alafu utagundua ulipotupia zile HELA hupakumbuki ila UNAKUMBUKA MAVI uliyoyashika. we cheza tu!, mtese mwenzio nawe mateso yaja nyuma yako. Unajifanya uko under 25!
NISAIDIE NAMBA ZA SIMU ZA HAO WASICHANA KWANZA TAFADHALi!
Lithamini Sana Chozi la mwanamke linalotoka kwa Ajili Yako. Ipo siku Utalihitaji na Hutaliona tena, ni wakati wa kumuonyesha ukupendae kuwa hajakosea kukupenda wewe..
Kuna siku mkononi kwako kutakuwa na vitu viwili; MAVI na HELA, Alafu wewe kwa akili yako timamu utatupa HELA chini alafu utabakiwa na MAVI mkononi alafu utashangilia na kufurahia. Ila mda ukifika utastuka mikono inanuka alafu utagundua ulipotupia zile HELA hupakumbuki ila UNAKUMBUKA MAVI uliyoyashika. we cheza tu!, mtese mwenzio nawe mateso yaja nyuma yako. Unajifanya uko under 25!
Hii ni hekima.. umefunga mjadala. Kama anazo za kumtosha atakuwa ameshajua afanye nini..!!
uandishi wako mbaya mpaka nashindwa kukushauri
Huyo wa mwanzo ndio uliyeweka maagano naye,usije haribu mustakabali wa maisha yako!
mi naona tufungue darasa la mahusiano kwa under 25
for whatto be discussed soon