Ananipenda mpaka naona huruma

Aiseeee....
Kijana tatizo huja mature, kuwa jasiri tuu, unaweza kula huyo mchepuko. Alafu ukawa unampenda huyo wamoyon asilia mia.

Kama huwez kujigawa, basi amua kuwa na mmoja. Acha kutangatanga

Ebu act like a real men, acha utoto...
 
raha ya mapenzi upendwe na dem aisee mtaishi miaka mia ila ukimpenda dem af yeye hana habari aisee mwez hamfikishi

mtoa mada zingatia hayo maneno hapo juu ndo tunavoishi.
 
Mpende akupendaye brother. Acha kutangatanga 🙂lock1🙂.
 
Naomba namba yake huyu ambaye ulimuonyesha dira maana nahisi hajawahi kutika nje aone beats tofauti
 
Embu jarib kusoma huu ujumbe
 

Attachments

  • 1451052928923.jpg
    30.7 KB · Views: 672
Endelea kumpenda anayekupenda hao wengine chapa ilale
 
Hahah we ni boya kweli yaani we ndo zuzu unathubutu kuandika ----- hapa , unataka uambiwe kwamba umuache ama unataka tujue umemtoa bikra.. Pvssy wewe
 
 
Hvi chuo kikuu ndio huwa mnaandika hovyo hovyo namna hyo?
 
Hvi chuo kikuu ndio huwa mnaandika hovyo hovyo namna hyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…