Ananipenda lakini simuhitaji

We subiria mwenye tako kubwa zaidi akupelekeshe kama kiberenge ndio utatia akili. Mi demu akinipenda hivyo hata akiwa wa kawaida namchukua. Hakuna raha kama kupendwa na manzi, utakuwa kama mtoto full kudekezwa na mazawadi halafu kama kwao zipo tegemea kula mema ya nchi sana bila mizinga. Kwa sie vidume romantic tutakuwa na win.win situation,,unajali nawe unajaliwa zaidi!
 
Bahati hiyo kwa serikali ya saivi kupata mtu kama huyo ni bahat sanaa

yani una msaidia mtoto kunywa uji kweli,wakati hanajua kushika mwenyewe
 
Mkuu fursa hiyo, changamkia ukawe mme bwege, upewe noti na shemeji zako, baba mkwe akija anakuachia koti, mama mkwe akija utaachiwa hereni maana utalazimishwa utoboe masikio na kuvaa vipensi kama Mario wengine.
N.b Mke akikupita kipato ni dhambi.
 
Dogo acha utoto unaweza kuchezea shilingi shimoni .acha ujuaji mm mzee wa kale na kuambia
Kipi bora umpende asiye kupenda halafu akiburuze au umpende anayekupenda ili familia iwe ya amani na Furaha

Dogo acha kutupa dhahabu na kutaka kuokota makaa ya mawe ya mchuchuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…