Ananipenda lakini nimemzidi miaka saba!

Kuna kabiti kapo form 3 na mimi nko chuo nafanya digrii kananipenda lakini nahofia ntachukuliwa mimi napenda watoto!

Sasa kwani uwongo, si unapenda watoto au? Ulimjuaje na ikawaje mpaka afikie kukupenda wewe kwani unataka kutuambia hakuona wengine zaidi yako au? Wewe inabidi ufungwe kwa kulawiti watoto, tena mwanafunzi wa form III? Ngoja nikutafutie Green Guards wa Nape waje kwako mida hii, haufai kabisa wewe kwani ni mwaribifu tu wa watoto wa watu.
 
Jamani basi hata hili pia unahitaji ushauri? Kama angekua mdogo wako wa kike ungemfanyaje huyo jamaa anae jaribu kutakaa kufanya vituko Kama vyako?
 
Segerea inakuhusu wewe mbakaji
 
dats woow! Hahahahahahahahaha you guys...!
 
Jamani basi hata hili pia unahitaji ushauri? Kama angekua mdogo wako wa kike ungemfanyaje huyo jamaa anae jaribu kutakaa kufanya vituko Kama vyako?
mimi kaniambia eti "PROMISE ME" one thng dat we are goen to be 2getha nkamwambia wewe bana mdogo
 
Pumba!!! ndo dgree unayochukua ya kuharibu wdogo zako!!!! umeshamurubuni binti wa watu naye kavuta masikio!!!huku mtaani nawapa makavu tu nyie wenye dgree uchuro kwa jamii!!!
 
Pumba!!! ndo dgree unayochukua ya kuharibu wdogo zako!!!! umeshamurubuni binti wa watu naye kavuta masikio!!!huku mtaani nawapa makavu tu nyie wenye dgree uchuro kwa jamii!!!
Yegoo!!! Hujaelewa mada, huyu mtoto ananitaka handsome boy!
 
jamaa mbishi wewe hahahahahahaha! Mimi bado cjampa jibu, asanteee nipe makavu 2 ndo vzur
 
nasikia majengo ya serikali yamepungua watu kiasi! nahisi unampango wa kuelekea huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…