Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 22,372
- 28,041
Upoyoyo tuu, mwanamke ni mtu wa kumwendea kwa sangoma eti akutizamie? Keshakuona ----- ndo maana anapiga kimya.Mpenzi wangu ambae siku zote namuamini sana kwa zaidi ya miaka minne sasa lakini cha ajabu anapenda sana kuninunia haswa ikitokea tumepishana kiswahili nimejaribu kumkataza tabia yake hii lakini hukaa kwa mda anarudia tena yaani anaweza kukaa hata wiki moja hanipigii simu na simu yangu hapokei.
Nimejaribu kumchunguza kwa mbinu zote ili niweze kujua anamwengne au vipi lakini sijagundua nikaenda hadi kwa wanaoona kwa maono yasiyo ya kawaida lakini wameniambia ni tabia yake tu.
Lakini hana mwanaume mwingine na anakupenda sana, sasa nabaki kijiuliza ni kitu gani kinachomfanya apate ujasiri wa kunipigia kimya wiki nzima wakati tupo mikoa tofauti hua tunakutana mara chache tu.
kuchunguza mwanamke ni sawa na kuchunguza bahari
uchukue tu hivyo hivyoJapo unauma lakini Ndiyo ukweli wenyewe huo.
Hahahahauchukue tu hivyo hivyo
Huyo ameshakuona kuwa wewe ni mwanafunzi wa mapenzi na kuwa wewe unampenda kupindukia, dalili ya kununa kwenye mapenzi huandamana na dharau na jeuri, hivyo vikiwepo kwenye mapenzi hatima ya mahusiano hayo ni lazima yawe mabaya. mahusiano yeyote hujengwa na upendo usio hesabu mabaya, hujengwa na ucheshi na utani, sio mikwakruzo na magomji.Mpenzi wangu ambae siku zote namuamini sana kwa zaidi ya miaka minne sasa lakini cha ajabu anapenda sana kuninunia haswa ikitokea tumepishana kiswahili nimejaribu kumkataza tabia yake hii lakini hukaa kwa mda anarudia tena yaani anaweza kukaa hata wiki moja hanipigii simu na simu yangu hapokei.
Nimejaribu kumchunguza kwa mbinu zote ili niweze kujua anamwengne au vipi lakini sijagundua nikaenda hadi kwa wanaoona kwa maono yasiyo ya kawaida lakini wameniambia ni tabia yake tu.
Lakini hana mwanaume mwingine na anakupenda sana, sasa nabaki kijiuliza ni kitu gani kinachomfanya apate ujasiri wa kunipigia kimya wiki nzima wakati tupo mikoa tofauti hua tunakutana mara chache tu.
Mpenzi wangu ambae siku zote namuamini sana kwa zaidi ya miaka minne sasa lakini cha ajabu anapenda sana kuninunia haswa ikitokea tumepishana kiswahili nimejaribu kumkataza tabia yake hii lakini hukaa kwa mda anarudia tena yaani anaweza kukaa hata wiki moja hanipigii simu na simu yangu hapokei.