Ananipenda ila ndio haeleweki

 
Rafiki wa kweli kabisa wa kike ni yule unayeweza lala naye kitanda kimoja na msifanye mapenzi. Lakini nina maswali mawili. 1. mkilala hapo kitandani kuna wakati huwa unapata hisia za mapenzi unasimamaisha? 2. Kwa kawaida wewe husimamisha, au ndio mtoto sio riziki?
 
Hivi wanaogegedana huwa wanakuwa maadui?
 
huo ni uongo ulale kitanda kimoja na mwanamke bila kumgegeda utakuwa una matatizo.
 
Hivi we mtoa mada...dah...hivi una..ngoja tu nilale
 

ukisha lala nae si kuna kucha??? Kama ndivyo ww endelea kulala nae atakuja na mshkaji wake aliyefunguka sawa sawa atalala apo pembeni na kujilia mzigo taratibu. Ila we unatuzuga tu aseeee
 
duuuhhh kama kuandika tu huwezi
na ndo maana mnalala kitanda kimoja na huwezi fanya kitu
 
huo ni uongo ulale kitanda kimoja na mwanamke bila kumgegeda utakuwa una matatizo.

Siyo kila mtu ni wa kugegedana. Na siyo kila rafiki waa jinsia tofauti na yako anafaa kuwa mpenzi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…