Mkude mjita
Member
- Jan 24, 2015
- 7
- 0
...naomba ushaur huyu demu ananipenda au nimgonge bila kumuambia.
Kijana inaonyesha kuwa ule waya unaounganisha kati ya ubongo na mdomo umekatika au umepata shoti...na ndio maana hata ukiandika hueleweki....wahi kwa fundi radio aliyekaribu nawe akauchomelee huo waya ili urudi katika hali ya kawaida na uwe unaandika vitu vinavyoeleweka..........
Hahahahahaaaa....mkuu ule nakumbuka kama unaitwa brain optic fibre kama sikosei..hahahaaaHahahahaaaa.. Huo waya unaitwaje Mkuu KikulachoChako.
Inaonekana hujui mambo hebu njoo nikudunge na kiharagwe changu upate funzo.
Habari ndugu zangu.
Mimi kuna msichana tuko naye karibu mpaka inafika hatua ya mi kulala nae kitanda kimoja bila ya kufanya mapenzi anabaki kama just friand.
Sasa naomba ushauri huyu demu ananipenda au nimuache bila kumuambia au nibaki naye kama rafiki naomba ushauri wenu ndugu zangu.

kabla hujamgonga hakikisha unaita ambyulensi kabisa....