MAKRESH MMAKA
Senior Member
- Apr 14, 2013
- 155
- 19
Najua ananipenda na kusema ule ukweli nampenda ila naogopa kuwa nae kwasababu kaolewa na ameshazaa na mume wake mtoto mmoja.
Lakini kafikia hatua ya kuniambia ananipenda ila naogopa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa mtu ila nafsi yangu imetamani niwe nae napata kizunguzungu cha maamuzi.
Ushauri tafadhali
Na bora umepata hicho kizunguzungu kwa sababu hicho unachotaka kufanya ni hatari sana ila ukiamua kufata hiyo nafsi yako inayotamani tamani siku yakikukuta uje utupe mrejesho kama bado utakuwa hai.
tena awe honesty kutuambia chochote kitakachomkuta huko.
Una hatari wewe mvulana, hayaaaaaaaaaaa
Kumbe wewe na nafsi yako ni tofauti? Si uungwana kwa muungwana kutembea na wake za watu. Sitaki kutumia imani za kidini hasa zile za kimapokeo kujenga Hoja. Kikubwa mila zetu zilikemea sana masuala haya.[SIZE=3Lakini kafikia hatua ya kuniambia ananipenda ila naogopa kuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na mke wa mtu ila nafsi yangu imetamani niwe nae napata kizunguzungu cha maamuzi. [/SIZE]