Ananionea aibu kunipa jibu

Dah!!! Mkuu mi naona kama anakuonea huruma tu... km vipi we chapalapa....
 

Hivi mnarudi lini shule?
Mnachosha sana!
 
Poa jamani kwa ushauri wenu wana MMU.mi nitakifanya kwa mricho nishauri then nitarudisha feedback kwenu.asanteni sana kwa kunipa msaada
 
Tutakuja kufundisha watoto masuala yaliyo nje na uwezo wao. Ahhh ndio matokeo ya utandawazi hayo
 
Mwache mtoto wa watu usimuharibie future yake bure. Unataka aseme ndio ili baadae ulete uzi hapa wa kumchambua. Hebu mwachege apumue lol.
 
Reactions: BAK
Hahahahaaa!
Woryout ma ticha!
Siwezi kukusudia hivyo!
Huyu dogo Zombie!!!
Nimewacha ufafanuzi dhidi ya ile post!
Mmmh! Imekukua vigumu kueleweka!
But haka katoto kamekua kanachukua tu yale mawazo anayoyakubali na sio mawazo mazuri!!!
Sijui haka katoto kana pepo!
akili kichwani mwake!
...
Labda nimeathiriwa na ile tabia ya kujibu pumba pale linapokuja swali lenye pumba!!!!
Ahahaha Mashaxizo na wenzako jiandaeni kujibu kesi....!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…