Masuonline
Senior Member
- Jun 4, 2013
- 194
- 21
Duh we hujatulia kabisa!!!Dogo acha uboya!
Kama hajui kukubali au kukataa kwa mdomo, fanya kwa vitendo! Eee! Kama nyoka vile! Unaanza mikononi kwenda kifuani! Akitulia tu ujue uyo anajifkiria!
Achana na hapo!
Anza tena miguuni mwake kuelekea kuleeeeeee! If Akibana bado hajajiamini, rudi tena kifuani! If akifungua chokeka kitu kigumu na sepaaaaaa!
Eee! Out of site...beibe!
Duh we hujatulia kabisa!!!
wanawake wangekuwa wanaripoti vitendo vya ubakaji, watu kama Mashaxizo tusingekuwa nao tena uraiani
Wana MMU Kwa msichana Ambae umemtongoza na akakuonyeshea dariri zote amekubari rakini ukimwambia akupe jibu ilikusudi upate uhakika anakaa tu kimya na hakatai wala hagomi na anabaki tu anaona aibu kuongea. Jamani wana jf mnanishauri nifanyeje mimi ili kusudi asiniogope
Duh we hujatulia kabisa!!!
haaa wewe still hujatulia mtazame!!Hish!
Kweli niko kwa darumini!
...
Tatizo umekrem best! frm now whatever i say, u will translate it in negatiwe way!!!!
Yap! Ukiamini tu flani ni mchawi, ukimuona na pensi tu, utajua anakwenda kuwanga! Kumbe sometimes anakwendaga shamba kulima tu!
...
Ukiisoma kwa makini ile post utagundua kuna "dogo" na "Out of site....beibe"
hayo maneno moja limejitokeza mwanzo na moja limejitokeza mwisho!
Ukiskia kupiga na kupuliza ndio huko! Eee! Hiyo inapunguza maumivu! Na kuleta maswali kwa anaequotiwa!
Just irudie kwa makini, ondoa ushabiki beibe!
Try to understand me!
Hahahahaa!
Love u beibe!
hajanifanya kitu!kakufanyaje tena?
dariri....