chagga dady
Member
- Mar 20, 2019
- 31
- 23
Mzae halafu msaidiane kulea la sivyo Ustawi unakuhusuPoleni na majakuku.Kuna manzi ametokea kunipenda na kunikubali hali ya kuwa mimi pia kuna manzi nampenda.ila ch ajabu huyu manzi kila nikiumuomba mchezo anakubli ila sharti lke ataki tutumie kinga.cku moja nikamuuliza kwann akaniambia anataka nimpe zawad ya mtoto hali ya kuwa mimi sina mpango huo kwa sasa na sijapanga kuwa na mtoto .USHAURI WENU WADAU
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe we mchaga? Ndo maana unapenda vyura maana huko kwenu hawapatikaniSisi wachaga huwa hatuna chagga dady mshambamshamba kama wewe!
Damned Demi tupe story yako kwanza ya kukulana kimasihara na watu wa JF!Kumbe we mchaga? Ndo maana unapenda vyura maana huko kwenu hawapatikani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwann bos ongea vizxSisi wachaga huwa hatuna chagga dady mshambamshamba kama wewe!
Tema mate chini mamaKumbe we mchaga? Ndo maana unapenda vyura maana huko kwenu hawapatikani
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini unakubali kuambukizwa ukimwi ukiwa unaona na macho yako mawili?!
Yaaan mtihaniWewe binasfi baada ya kuambiwa hivo kichwa na roho yako vinakuambia nini..?
(Hata tusemeje kama kichwa chako kisha-respond -Ve/+Ve hatutaweza kukubadilisha..labda tu Apply further assistance)
BlessKosa utakalolifanya la kuzaa nae litakugharimu maisha yako yote, kama huna mpango wa kuweza koana nae acha hiyo biashara! Utakuka hapa kulia lia badae
Sent using Jamii Forums mobile app
Anadai tukapime kama naogopaKwa nini unakubali kuambukizwa ukimwi ukiwa unaona na macho yako mawili?!