Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,446 Sep 14, 2009 Thread starter #41 Sipo said: Unakuwa unafanya nini mpaka unag'atwa miguuni Fidel80 wewee??? Click to expand... Dah mpwa si kunako na wewe bana hujui mapenzi ni sanaa na full utundu sasa sielewi nimezidisha mno manjonjo! mpaka shem wako anajisahau ananing'ata.
Sipo said: Unakuwa unafanya nini mpaka unag'atwa miguuni Fidel80 wewee??? Click to expand... Dah mpwa si kunako na wewe bana hujui mapenzi ni sanaa na full utundu sasa sielewi nimezidisha mno manjonjo! mpaka shem wako anajisahau ananing'ata.
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,446 Sep 14, 2009 Thread starter #42 MwanajamiiOne said: We nawe kwa kukwapuaga! mademu wako wote wana visa Click to expand... We si bado hujalivua nasubili ulivue mm nilivae labda hutaning'ata.
MwanajamiiOne said: We nawe kwa kukwapuaga! mademu wako wote wana visa Click to expand... We si bado hujalivua nasubili ulivue mm nilivae labda hutaning'ata.
MwanajamiiOne Platinum Member Jul 24, 2008 10,470 6,563 Sep 14, 2009 #43 Fidel80 said: We si bado hujalivua nasubili ulivue mm nilivae labda hutaning'ata. Click to expand... Endelea kusubiri.........................!
Fidel80 said: We si bado hujalivua nasubili ulivue mm nilivae labda hutaning'ata. Click to expand... Endelea kusubiri.........................!
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,446 Sep 14, 2009 Thread starter #44 MwanajamiiOne said: Endelea kusubiri.........................! Click to expand... Hapo naendelea kupata matumaini nakusubili mpaka uzeeni tu.........
MwanajamiiOne said: Endelea kusubiri.........................! Click to expand... Hapo naendelea kupata matumaini nakusubili mpaka uzeeni tu.........
Kaizer Platinum Member Sep 16, 2008 25,320 17,823 Sep 14, 2009 #45 Fidel80 said: We si bado hujalivua nasubili ulivue mm nilivae labda hutaning'ata. Click to expand... MwanajamiiOne said: Endelea kusubiri.........................! Click to expand... Fidel80 said: Hapo naendelea kupata matumaini nakusubili mpaka uzeeni tu......... Click to expand... Wakulu vipi weekend hii? tuyamalize kabisa
Fidel80 said: We si bado hujalivua nasubili ulivue mm nilivae labda hutaning'ata. Click to expand... MwanajamiiOne said: Endelea kusubiri.........................! Click to expand... Fidel80 said: Hapo naendelea kupata matumaini nakusubili mpaka uzeeni tu......... Click to expand... Wakulu vipi weekend hii? tuyamalize kabisa
Safina JF-Expert Member Jun 18, 2009 497 64 Sep 14, 2009 #46 Bunduki said: Muulize mkeo huwa anajisikiaje, raha au maumivu. Nadhani yuko ktk nafasi nzuri zaidi kuliko mtu mwingine Click to expand... Haswaa mkuu. Nami naona ambaye atakueleza ukweli ni mamsapu. Hila mi nadhani ni utamu kolea.
Bunduki said: Muulize mkeo huwa anajisikiaje, raha au maumivu. Nadhani yuko ktk nafasi nzuri zaidi kuliko mtu mwingine Click to expand... Haswaa mkuu. Nami naona ambaye atakueleza ukweli ni mamsapu. Hila mi nadhani ni utamu kolea.
Shishi JF-Expert Member Feb 11, 2008 1,242 39 Sep 14, 2009 #47 Kaizer said: Wakulu vipi weekend hii? tuyamalize kabisa Click to expand... mmmmmm huchelewi??? Fidel hadi 2012....asimpotezee dadangu muda bure!
Kaizer said: Wakulu vipi weekend hii? tuyamalize kabisa Click to expand... mmmmmm huchelewi??? Fidel hadi 2012....asimpotezee dadangu muda bure!
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,446 Sep 14, 2009 Thread starter #48 Kaizer said: Wakulu vipi weekend hii? tuyamalize kabisa Click to expand... Mi nategemea wewe utakuwa ndo msemaji mkuu upande wangu wkt tunayamaliza kiutu uzima...
Kaizer said: Wakulu vipi weekend hii? tuyamalize kabisa Click to expand... Mi nategemea wewe utakuwa ndo msemaji mkuu upande wangu wkt tunayamaliza kiutu uzima...
eRRy JF-Expert Member Jun 12, 2009 1,125 204 Sep 14, 2009 #49 hiyo ilinitokeaga kipindi fulani duh! hadi sasa sina hamu naye, alining'ata shingoni hadi damu! hamu yote ikaishia hapahapo!
hiyo ilinitokeaga kipindi fulani duh! hadi sasa sina hamu naye, alining'ata shingoni hadi damu! hamu yote ikaishia hapahapo!
Wang Shu JF-Expert Member Feb 1, 2014 2,563 3,708 Jul 21, 2021 #50 Vipi bado shemela anakung'ata mpaka leo.