Ananijaribu au yupo serious?

Kama hutaki mpotezakwa nini usivumilie tu hilo tunda ukapewa ukishamuoa/lipia mahari...


Kaka na Dada zangu huyu kiumbe anajaribu kunitisha kwa kauli yangu niliyopigia mstari hapo juu au anaweza kuwa serious sielewi na sitaki kumpoteza Nina malengo nae......
 
Shule zinafunguliwa lini mwende?
 
Acha pupa. Tulia kidogo muwekee malengo bandia mezani, mtambulishe kwa Dada zako, jitaidi umuambie kuwa kuonana na mama yake mzazi akikataa mchimbe mkwara wa nguvu kuwa anakupotezea mda hakupendi.akikubali nenda ujitambulishe kwa mama yake kuwa wewe ndiye Mchumba wa mtoto wake baada ya hapo tafuta Rafiki yako mwenye Kuwa na umri mkubwa kukuzidi muandae vizuri ajitambulishe kuwa yeye ndiye kaka yako na amekuja kumuangalia kwa sababu tayari Ana taarifa zake. Baadaye muambie demu kuwa Kuna mjumbe wa familia anataka kumuona kwahiyo anatakiwa. Akifika tu wataongea kidogo alafu mgeni ataondoka na kuwaachia uwanja. Ulimwambia demu eti nataka papuchi hata kuelewa kwa sababu haujui huo mchezo. Anza kwa michezo, baadaye una muambia kuwa naomba unibusu akikataa muakikishie usalama wake kwa kumuambia kuwa hauta mfanyia chochote unaeshimu uamuzi wake akikubali mpe denda ya nguvu huku ukimgusa sehemu hatari kama maziwa na mbavu zake... Mzuka utampanda na papuchi utakula.
 
Mwanamke akisema tuachane? Huyo siyo wako inabidi utafute mwanamke mwingine. Ila tunapishana sana yaani nimwambie mwanamke naomba papuchi haitatokea mpaka kesho kutwa. Mm mwanamke akishanikubali tu siku yoyote nakula tunda.
 
Tafuta njia nyingine ya kuteka fikra ila si kwakumlengesha mwenzio kiivyo
 
Njia gani tena? Hizo walizotoa wadau hapo juu ndo nzuri cha msingi amuhaidi ndoa feki yaani aende ukweni akaigize tu atampata kiulaini
Tafuta njia nyingine ya kuteka fikra ila si kwakumlengesha mwenzio kiivyo
 
Njia gani tena? Hizo walizotoa wadau hapo juu ndo nzuri cha msingi amuhaidi ndoa feki yaani aende ukweni akaigize tu atampata kiulaini

Huku ni kutafuta laana sasa ke usiyo na malengo nayo kwao unafata nini aisee bora unidanganye me lkn sio wazazi wangu
 
Kwa mihemuko ya huyu jamaa hana uvumilivu wa ujasiri kama uliotumia wewe na hawezi
 
Barua za posa zinakubaliwa zote? Kama ni hapana sio wote wanaojitambulisha ni waoaji
Huku ni kutafuta laana sasa ke usiyo na malengo nayo kwao unafata nini aisee bora unidanganye me lkn sio wazazi wangu
 
Ushaibiwa hapo,huyo Demu kuna MTU anakula utamu kila siku lkn akija kwako anakutelea ujinga ujinga,pigs chini
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…