Ananijaribu au yupo serious?

mudy92

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
671
Reaction score
535
Nimekuwa katika Mahusiano na binti kwa miezi mi 5 sasa, Kwa matendo anaonekana ananipenda (ana care, ananiskiliza, ana niheshimu) ila shida kubwa sijawahi kusex nae sababu anaswali ( ni Muislam)....

KISA KILIPOANZA

Nilimuomba tukimaliza mwezi mtukufu Nile tunda (tusex) akakubali kuwa atanipa. Sasa tumemaliza namuomba hataki na anadai kama siwezi kuvumilia niachane nae mm katika maongezi nikamwambia naheshimu maamuzi yake ila "Ningeweza ningekuwa na mwanamke mwinginine na asijue ila namuheshimu" hili neno nililopigia mstari likamkera sana, Jana usiku akadai tuachane ila akapindua maamuzi na kusema kanisamee Baada ya mm kubembeleza...

SWALI KWA WAJUZI

Kaka na Dada zangu huyu kiumbe anajaribu kunitisha kwa kauli yangu niliyopigia mstari hapo juu au anaweza kuwa serious sielewi na sitaki kumpoteza Nina malengo nae......
 
SUBIRI BASI HAYO MALENGO YAKO YAFIKE...NAOMBA USIMHARIBU BINT WA KIISLAAM HUYO...UKIONA HAKUFAI KWA UNAYOYAHITAJI MUWACHE UKAFUATE UNAOENDANA NAO...

ALLAH AMLINDE HUYO BINT NA HILA ZAKO NA SHETWAN ALIYE NDANI KWAKO...
 
Usitumie nguvu kwenye kutaka papuchi kk mm nilikuwa na binti wa kiislam na anaswali sana tulikaa mwaka mzm cjapiga wala ckuwa na haraka nikitaka papuchi natafuta kipoozeo napasua mm namwambia ukijisikia kunipa utanipa fanya upendalo maana huna hisia nami siku akikuacha au kutoa hisia za wako wa zamani utanipa saivi analazimisha kila mara kunipa haipiti wiki anaileta kwaiyo mkuu kula denda shika sehemu pamuwashapo alafu muache wala usilazimishe teka kwanza hisia zake
 
Punguza pupa. Usiwe na haraka. Nenda naye taratibu. Au una mpango wa kupita na kusepa?
 

Wewe dhambi yako kubwa sana
 
Mwite gheto. mwambie unaheshimu maamuzi yake na hutomtia.. akitia mguu gheto fanya juu chini ule.. next time ataileta Mwenyewe!
 
SUBIRI BASI HAYO MALENGO YAKO YAFIKE...NAOMBA USIMHARIBU BINT WA KIISLAAM HUYO...UKIONA HAKUFAI KWA UNAYOYAHITAJI MUWACHE UKAFUATE UNAOENDANA NAO...

ALLAH AMLINDE HUYO BINT NA HILA ZAKO NA SHETWAN ALIYE NDANI KWAKO...


angekuwa wakikristo ruksa kuharibiwa?
 
Kama huu uzi ni kweli basi uyo demu kakuweka second choice au back up plan, anakukatalia ili umuone anajiheshimu au ana tabia njema lakini kuna muhuni behind of the scene ana mkaza, wanawake ni waigizaji wazuri sana kuliko hata marehemu kanumba,, masuala ya kufanya baada ya ndoa unaweza nunua mbuzi ndani ya gunia,, unashangaa unakutana na bwawa la mtera au unakuta hana marinda, kua makini sana.
 
SUBIRI BASI HAYO MALENGO YAKO YAFIKE...NAOMBA USIMHARIBU BINT WA KIISLAAM HUYO...UKIONA HAKUFAI KWA UNAYOYAHITAJI MUWACHE UKAFUATE UNAOENDANA NAO...

ALLAH AMLINDE HUYO BINT NA HILA ZAKO NA SHETWAN ALIYE NDANI KWAKO...
Hakuna cha allaha wala mama'ake alah huyo kuna mtu anakamata anajipigia kiulainiii tena sometimes waga anampelekea na kumhonga anamhonga.
 
Ukiwa bado unamsubiria andaa vipesa kidogo uwe una piga friend match njee usije kupagawa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…