Ananifaa kweli huyu?

Kama angekuwa mstaarabu wala asingeonyesha kama hiyo zawadi hakuipenda, angeipokea kwa furaha na shukrani nyingi. Hata hivyo watu tumetofautiana.
 
Washikaji wengine mnakuwaga desperate sana hadi mnatia aibu!

Mademu wote hawa bado mnalia lia!
 
mi i najua zawadi huwa haiombwi,ni mtu anaamua kukuletea kwa ridhaa yake bila kulazimishwa,achana na huyo demu ni changudoe wa kona baa
 
Nimebahatika kukutana na girl super cue na tukapanga mambo mengi.
Cha ajabu tukapanga tukutane one day ili kubadilishana mawazo akaniomba nimjie na zawadi kwa bahati mbaya hakuiependa hiyo alikuwa anahiitaji. Nikajitetea tutakwenda weekend akachague. Baadaye ananitext kwamba cwezi kumdharau kiasi kile. Akaomba tuachane. Jamani hii imekaaje ushauri plz
Mshukuru Mungu amekuondolea balaa. ungelia nae huyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom