U usomdudu Senior Member Joined Dec 18, 2011 Posts 114 Reaction score 103 Oct 14, 2013 #21 KILIVITE said: Ndugu zangu,ni wiki moja tokea niende ukweni kujisalimisha baada ya kuwa na binti kwa miaka 2,amebadilika maana anataka anipangie marafiki,muda wa kurudi na ananishinikiza niwafukuze kazi wafanyakazi walio chini yangu ambao ni wachapakazi sana! Click to expand... Rudi ukweni waambie ulikosea mkuu....!!KAA MBALI HUYO NI KIMEO..
KILIVITE said: Ndugu zangu,ni wiki moja tokea niende ukweni kujisalimisha baada ya kuwa na binti kwa miaka 2,amebadilika maana anataka anipangie marafiki,muda wa kurudi na ananishinikiza niwafukuze kazi wafanyakazi walio chini yangu ambao ni wachapakazi sana! Click to expand... Rudi ukweni waambie ulikosea mkuu....!!KAA MBALI HUYO NI KIMEO..