Ananifaa kweli ama kimeo?

KILIVITE

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2013
Posts
1,302
Reaction score
556
Ndugu zangu,ni wiki moja tokea niende ukweni kujisalimisha baada ya kuwa na binti kwa miaka 2,amebadilika maana anataka anipangie marafiki,muda wa kurudi na ananishinikiza niwafukuze kazi wafanyakazi walio chini yangu ambao ni wachapakazi sana!
 
njoo kwangu! haahahahha, ''jus kiddin''
 
Ha ha ha ishini na wake zenu kwa akili....Neno la Mungu ni tamu sana!!!
 
Hicho kimeo yaana anaanza hata kabla ya

Sent from my BlackBerry - jamiiforums
 
oa sabuni,mpenzi asiyekuwa na wivu,asiye na makuu wala usista duu
 
Unajua sifa za wanawake wenye gubu??? Weka ndani ujionee! Haki ya nani utanyimwa papuch mwezi mzima!! Ckutishi ndo walivyo! Pole yako!!
 
Hilo ni kosa kubwa analolifanya, mlipokuwa GF na BF alikukubali kama ulivyo bila kutaka kukubadilisha sasa analeta za kuleta. Ila ukweli ukishaamua kuwa mume basi inabidi ujitahidi kurudi maskani mapema, tabia ya kurudi home kila siku mwenzako kishauchapa usingizi masaa chungu nzima yaliyopita haihuuuuu, hukawii kusikia mke analalama nimo kwenye ndoa lakini ni mpweke mume wangu simuoni kabisa. Hilo la kufukuza kazi hao wachapa kazi halina uhusiano wowote mfahamishe kwa kina kwamba hao ni wachapa kazi na hauko tayari kuwafukuza labda kama ana sababu muhimu ya wewe kufanya hivyo (labda kagundua wanakuibia) au ndio anataka "kukudhibiti."

Ndugu zangu,ni wiki moja tokea niende ukweni kujisalimisha baada ya kuwa na binti kwa miaka 2,amebadilika maana anataka anipangie marafiki,muda wa kurudi na ananishinikiza niwafukuze kazi wafanyakazi walio chini yangu ambao ni wachapakazi sana!
 
Last edited by a moderator:
ulishajiweka ----- b.w.e.g.e tangu awali., unavuna ulichopanda.
 
asa unamwambia nani abadili ] umwambie hicho kimeo chako kuwa tabia moja mbili huzitaki then mpe muda uone kama anajitahidi kuachana na hii tabia kwani itachukua muda mpaka kuacha kwani tabia ni kama ngozi......kama hamna jitihada piga chini
 
Ndugu zangu,ni wiki moja tokea niende ukweni kujisalimisha baada ya kuwa na binti kwa miaka 2,amebadilika maana anataka anipangie marafiki,muda wa kurudi na ananishinikiza niwafukuze kazi wafanyakazi walio chini yangu ambao ni wachapakazi sana!

Aisee! sijui wewe ni mwanaume ila sio kamili, labda niambie aina ya kabila lako ntakusaidia maana kuna tabia zinaendana na kabila la mtu husika.
 
Ndugu zangu,ni wiki moja tokea niende ukweni kujisalimisha baada ya kuwa na binti kwa miaka 2,amebadilika maana anataka anipangie marafiki,muda wa kurudi na ananishinikiza niwafukuze kazi wafanyakazi walio chini yangu ambao ni wachapakazi sana!

Ushauri wa mkeo uliye ishi naye miaka miwili umeudharau na kuleta hapa tuutathimini unafikiri wa kwetu hutampelekea ili muutathimini ukizingatia hatufahamiani? naona unacho mfanyia mwenzako si kizuri ulipaswa uje hapa useme alitoa sababu hizi yeye nami nikamkatalia kwa kutoa sababu hizi ila amegoma nishaurini nifanyeje kunusuru ndoa?
Usimtete mwenzio vibaya hivyo wengine unafiki hatupendi leo juma pili tunashika kitakatifu maana ni siku ya Mungu wetu! Kama vipi njoo naye hapa ili tumuonyeshe makosa yake huenda kaona anamegewa tonge lake kasema huyu bwana naomba niwatenganishe wewe unakimbilia huku!
 
Ndugu zangu,ni wiki moja tokea niende ukweni kujisalimisha baada ya kuwa na binti kwa miaka 2,amebadilika maana anataka anipangie marafiki,muda wa kurudi na ananishinikiza niwafukuze kazi wafanyakazi walio chini yangu ambao ni wachapakazi sana!

in a win-win situation ukitaka kupata jibu sahihi, jiulize kwa dhati na kwa bidii, je, "wewe una mfaa yeye?"
 
kaka hapo kuna kitu tena usipokuwa makini umekwisha!!!
kuna mfanyakazi amempenda kati ya hao na huenda alishafanya kila njia kashindwa hivyo anaona ukimfukuza kazi atatumiwa yeye ili huyo amtakaye arudi kazini na ndo njia ya kumpata kirahisi....!!!
ni mtazamo tu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…