Ananichukia kisa kuniona na mwanamke mwingine

Safiii, unakuta mtu kajambo kadogo kakutatua yeye na ubongo wake wa mbele tu. Ila wanakuja kutujazia nyuzi huku.
Haipendezi kwanza mwanaume kuomba omba maushauri 🤣
Mm kila nkiwa na jambo naloona nlifungulie thread hua nafanya mambo matatu nahakikisha nimeshiba, nahakikisha Sina ny_g_ na najaribu kuperuzi kuhus hlo jambo😁mpaka Leo Sina thread
 
Wakuu mwakeyeee, wengine sibhota, mwagumaaa?

Kuna dada mama ntilie nilikuwa nakula chakula kwake na nilikuwa nampelekea wateja sana ambao walihtaji chakula wakiwa ofisini kwangu basi nilihakiksha wanakula pale. Niliamua penzi akanichomolea akidai yeye mambo hayo hapana wakati huo ni single mama na baba wa mtoto alilala mbele.

Aliponichomolea nikamwambia poa mi taendelea kula kwako tuwe kama dada na kaka tu hilo lingne nimefuta. Sasa ajabu akawa na wivu sana na mimi hata hapo kazini kwake akawa hataki dada yeyote aongee na, mimi yuko tayari atoke huko atokako kwaajili yangu tu lengo likiwa nisiongee au kuhudumiwa na dada mwingine pale ofisini kwake.

Sasa siku moja nlikutana naye njiani nikiwa na shemeji yangu mdogo wa mwanamke ninayeishi naye ajabu nilimsalimia hakuitkia, tokea hapo akawa ananipita tu popote tunapokutana na mimi nikawa siachi kumpa hi bila kujali anaitikia au laah.

Last week niliamua kumfungia kazi rasmi, nimeacha enda kula pale kwake na nikikutana naye nampita kama simjui.

Je wakuu huyu dada ananitafuta nini au nakosea wapi?
Umefanya vizuri sana braza, aya pita huku👉
 
Duuuuuuh watu wa facebook wanazidi kuongezeka jukwaani, shida tupu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom