Ananichanganya simuelewi, naomba ushauri

mmh, mwenzio nshazeeka. Unakutana na complete stranger anaanza kukuita my pineapple sijui big g! Mara siku mbili anaanza kukuambia nakupenda sijakufa nikaoza bila wewe sijui nini!

wooi. kueni mjionee maghorofa na mengineyo

Hahahaha my tomato baby, my sugar potato, wenzio tukiitwa hivyo twaafa mazima. Sasa usiombe niitwe "mama angu" yereuwiiii nachanganyikiwa na kuzimia kabisa... But ni utoto tu, tukikua tutaacha. Sasa sijui utoto unaishia umri gani, maake kama hadi sasa hivi tunaact like teens ni tatizo eti
 
Wanaume ni mi*nyu*mbu sana,wanapenda kupotezea watu muda kama nini..achana nae,hiyo misifa anayokumwagia ukalewa unazidi kuchina best..watakuja wa ukweli utawakataa kwa kulewa sifa za baba limy utajalia nakuambia...alafu uyo mwanaume ni msukuma bila shaka koz wanejaaliwa kwa kusifia tuu ni kibokoo.
 
Utaliwa papuchi utaachwa, Fanya maamuzi now. Usibabaike kwa kuitwa jina la bandia.
 
Acha ubwegge unaonaje ujiko kuitwa jina la mwenzio....
 
Acha kuamini one side story eti hawezi kumuowa mama lily kwasababu alizokueleza wewe!! Mpe akishakuchezea atakuach atakutana na mwengine afu atamwita mchumba, wife, baby na atamwambia wewe hakuweza kukuowa kwasababu km hizo ulizokwambia wewe za mamaLily
 
Dah, hapa ndio nawashangaa wanawake. Sijui mmeumbwaje, vimaneno hivyo mnavimba vichwa sijui kwa nini. Wengine wasifie kidogo tu hakyanani papuchi wala buree,...!

Sababu za yeye kukataa kumuoa mama lily origino umezielewa? Angalia, wanaume sie wabaya sana!!!
 
Kwa hiyo mrsleo, mimi nikikutongoza na kukuambia nakupenda sana na tutakuwa wote (kuoana) basi unakuwa umejiridhisha ya kuwa nakupenda hata kudinya nadinya tu muda nitakao? Aisee!? Ndiyo maana wanaume wanawadanganya na kuwachukua kiulaiiiiiiiiiiiiiiiini make wasema kweli huwa hamuwakubali!
 
Last edited by a moderator:
Veeery true.....


Kama ana masikio na asikie



 
hajajua mbinu za kutongoza huyu. Ngoja nae azae manka wake, na mwanamke mwingine aanze kuitwa mama manka. lol

haki ya mungu tuko tofauti sijui akili zangu ndio hazikui?? yan eti niitwe mama razaki feki namimi nilowane chupi kisa????
 

wanawake wanakomaa kiakili wakishafikisha 22yrs, sasa huyu ni 25yrs sijui tusemeje?

Grand PA
 
haki ya mungu tuko tofauti sijui akili zangu ndio hazikui?? yan eti niitwe mama razaki feki namimi nilowane chupi kisa????

Hiyo ni kitu kimoja tu lakini kuna vingine vingi vinavyoleta utata...
 

huyo jamaa ni wa ukweli kabisa. anajua kabisa kuwa long distance relationship mtaishia kudanganyana tuu baadae iwe tabu.unatakiwa kumshukuru jamaa maana ameona mbali. hataki kukuumiza.
sasa wewe tulizana tafuta kidume mwengine upate maraha kabla ya hiyo 30 ila angalia usigegedwe gegedwe ovyo
 

sasa hapo akubali nini wakati jamaa kashwambia anampenda ila hawezi kuwa nae sababu ya umbali? au mimi ndo sijaelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…