Serious mkuu?Mwenzio alimfuata Zamaradi....
Saivi naona anaangalia fursa ya kuongeza mwingine....
Eating raw meatKipendacho roho hula nyama mbichi
Kumbe kuna fursa ya kua na wanne aliionaKwani unadhani Ruge alikua mjinga kubadili dini...
Jamaa alitumia akili sana, ingawa wengi tulimponda sana.......Kumbe kuna fursa ya kua na wanne aliiona
Vipi yale manyonyo bado yanakusumbua??Woyo woyo hata tukikushauri mwenye maamuzi ya mwisho ni wewe mwenyew