Habari wanajamvi, nadhani mambo yanaenda vyema.
Leo nimepata ugeni mdogo wangu mtoto wa mama mdogo kaja kunitembelea nyumbani kwangu.
Kanieleza tatizo lake nimeshndwa jinsi ya kumsaidia nikaona nijaribu kushare nanyi nipate chochote chakumsaidia.
Haya wandugu mkasa wenyewe upo hivi, bidada ni mfanyakazi muajiriwa katika kampuni fulani na ni mke wa mtu pia amebarikiwa kupata watoto watatu wote ni mapacha.
Sasa kabla hajaolewa alikuwa na boyfriend wake ambae kwa kipindi hicho alikuwa na maisha duni ukilinganisha na hali ya bibie na mumewe.
Wakati huo anadate na huyo jamaa pia wapo katika uchumba na mumewe, bibie akafunga ndoa after 1year akiwa tayari mjamzito.
Akajipatia hao twins wake watatu, mabinti wawili na njemba mmoja.
Huyo njemba kafanana sana na mumewe jambo ambalo shemu anafurahi sana.
Watoto mpaka sasa wana miaka minne, kasheshe limeibuka juzi, jamaa yule wa zamani anadai watoto ni wake na ukiangalia kwa mbali wanafanana, jamaa amekuwa mkali anataka watoto wake yaani amempa bidada siku mbili ampe jibu watoto ni wanani?
Mumewe anampenda sana na anajali sana family.
Anawapenda watoto wake hatari yaani walipozaliwa tu shemu aliomba likizo kazini ili alee watoto wake kwanza.
Sasa bibie amechanganykiwa hajui afanyeje na anamuogopa mumewe.
Hapo naomba tumsaidie mawazo.
Yupo humuhumu.
Nawasilisha.