Anamapenzi ya ajabu huyu manzi....

Anamapenzi ya ajabu huyu manzi....

Alinichunia zaidi ya miezi mitano,jana kanipigia simu anadai alikua kimya coz simu yake iliibiwa...na kipindi alichokua kmya mi mzeia nikapata watt wawili nikawa najipigia SHOO,na taarifa zkamfikia akaniuliza nami nikamthibitishia kuwa ni kweli,bt cha ajabu bhado ananing'ang'ania 2 mimi as if hakuna mvulana mwengne,na anataka eti nije nimuoe...uzuri mi ndio m2 wa kwanza kumtoa bikra...dah,anamapenzi ya ajabu kweli...mpaka namuogopa..eti wadau nimrudie au nimteme?

Hata kama ni jukwaa la MMU jifunze kupost mambo yenye mantiki! Unataka watu wakushauri nini ktk upuuzi huu? Huoni aibu kuuambia umma wa JF unapiga shoo na wanawake wawili at per? Katika karne hii yenye maambukizi makubwa ya vvu? Kama si utoto unakusumbua basi una mtindio wa ubongo!
Ni hayo tu kwa leo!
 
asante kwa changamoto,una jingine?
 
Mwache mtoto wa watu.Endelea tu na hayo machangu yako na ikiwezekana ongezea mengine mawili then utakuwa unaongezea kwa kanuni hiyo hiyo kila baada ya wiki mbili.
 
Alinichunia zaidi ya miezi mitano,jana kanipigia simu anadai alikua kimya coz simu yake iliibiwa...na kipindi alichokua kmya mi mzeia nikapata watt wawili nikawa najipigia SHOO,na taarifa zkamfikia akaniuliza nami nikamthibitishia kuwa ni kweli,bt cha ajabu bhado ananing'ang'ania 2 mimi as if hakuna mvulana mwengne,na anataka eti nije nimuoe...uzuri mi ndio m2 wa kwanza kumtoa bikra...dah,anamapenzi ya ajabu kweli...mpaka namuogopa..eti wadau nimrudie au nimteme?
Vipi, una supp au probation?
 
nimeona unalalamika kwenye thread nyingine manzi anakudengulia kukupa k,sahizi unadai anakutafuta mara unagonga nje oooh umemtoa bikra ooooh pepele pepele nyiiiiiingi
hahahhaha noma kweli mshakaji wangu ila mi si shangai sana hii ndo tabia ya wavulana wengi.....mara utasikia aha yule demu ananitaka mi wala si mtaki wala nini mara utasikia ahha yule demu ananitoa sana pesa ila mi namega kisela tu kumbe uongo mtupu ili mradi sijui waonekane wako juu au vp
 
Back
Top Bottom