Analogia Vs Digitali

Kwa umri wangu nimepitia zama zote(analogia na digital)
Nasadiki kusema bora digital kipindi kile cha analogia kupata mbususu ilikuwa yataka moyo ila siku za hivi karibuni mbususu inaliwa kiulaini kama kupiga puli tuuu
 
Kila sehemu Ina mazuri na mapungufu Yake.

Kipindi Cha analog Mapenzi yalikuwa ya dhati Sana yaani mademu wa enzi hizo walikuwaga waaminifu Sana Tena hawakuwa omba omba Kama wa ckuiz.Tatizo hao walikuwa wanapatikana kwa mbinde Sana maana hapakuwa na mawasiliano kama ckuiz.

Mapenzi ya digital kupata mwanamke Ni rahisi tatizo uaminifu ckuiz Ni mdogo Sana afu pia wanawake wengi wapo kimaslahi Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…