Analog weddings: Hakuna kuremba!

kajojo

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2012
Posts
2,947
Reaction score
5,496
Enzi zetu mambo yalikua namna hii, hakuna kuremba. na tuna dumu kwenye ndoa miaka mia naneee!
vipi wewe ndugu, enzi zako mambo yalikuaje.............:whoo:
 

Attachments

  • annalg wd.jpg
    47.6 KB · Views: 928
  • annalog wddng.jpg
    43.5 KB · Views: 1,094
  • annalog wedding.jpg
    50.8 KB · Views: 834
Siku hizi watu wanaangalia harusi....Big wedding mbwembwe kibao

kitu baada ya siku kadhaa kimebounce
 
Watu kujitia magharama na madeni chungu mbovu kisha mwezi tu ndoa imevunjika kha...Bora enzi hizo wanajirahisishia mambo!!Sio show off nyingii kuwanufaisha watu tu...
 
Umenikumbusha mbali sana. Kwangu ilikuwa hivi: Alikua anatoka kwa bibi yake kuelekea nyumbani kwao. Mara
mvua kubwa ikaanza kunyesha na nyumba ya karibu ya kujikinga na mvua ilikuwa nyumba yangu. Mtoto huyooo akaingia ameanza kulowa. Mvua ikazidi sana! Ilibidi alale na hukuenda tena kwao tangu siku hiyo. Tulikuwa tunafahamiana lakini. Hiyo ilikuwa March 1884. Wazazi walimalizana yote yaliyosababishwa na mvua.
 
Siku hizi watu wanaangalia harusi....Big wedding mbwembwe kibao

kitu baada ya siku kadhaa kimebounce
shost siku hizi harusi ni mbwembwe may nilihudhuria harusi iliyogharimu 70m za kitanzania hahahahaah ile harusi ilikuwa imetupwa live hewani bwana kama ulichanga na hujaja haya angalia ukiwa baa usidai chenchi
 
km pesa inaruhusu unafanya sherehe kubwa kwani haijirudii mara mbili
 
aisee hiyo kali sanaa.. hata bibi harusi honekani
 

Ilikuwa bonge ya kemia siku hiyo mkuu! Hongera sana..
 
Siku hizi Dijitali ndo mpango mzima! Picha kibao za kuweka facebook, wattsap, kwenye zile blog za harus, Instagram ilimradi tuu kila mtu aone ulivyotokelezea siku hiyo!
 

Ha ha ha ah ah! We mkali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…